
“Thank you ma love for zawadi… hapa meno sasa kuoza ni lazima… I loooove looooove loooooove you… Raha ya kusafiri zawadi… God bless u ma love…@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@
auntyezekiel@auntyezekiel Sasa
basi najua nina deni la pictures… Hapa nafanya kazi ya kuzikusanya
zooooote… Kesho mtachoka nyie… Maana ni tokea Mtwaraa si mnakumbuka…. Mi
nawapenda sana…”aliyatumia Wema Sepetu maneno hayo kupitia uwanja wake
wa kujidai wa instagram.
Wakati
kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu
siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa
Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza unapamba
moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo, ushostito
wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na Kajala.

<<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>>
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment