
MSANII wa Bongo Fleva,Vanessa Mdee(v –
money) amefunguka kuwa yeye alikua miongoni mwa majaji waliopiga kura
kwa ajili ya wasanii waliotajwa kwenye categories za tuzo za BET Awards
2014.


Majaji hao wanakua 500 kutoka barani
Africa, UK na Marekani ambako tuzo hizo zinafanyika kila mwaka tangu
mwaka 2001, na mwaka huu msanii Diamond Platnumz ataiwakilisha Tanzania
kwa mara ya kwanza Vanessa amefunguka mchakato ulivyokuwa na kura yake
ilienda kwa nani.
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
Bofya hapo chini kusikiliza.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment