Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii wa filam Wastara Juma akiweka taji la maua kwenye kaburi la marehem Adam Kuambiana

Wastara amewasili jana kutoka London alipokwenda kikazi

Makaburini ameongozana na wasanii wenzake akiwemo Issa Mussa cloud ambae wamerudi wote
 
Wastara Juma akilia makaburin kwa Adam Kuambiana mapema leo
  
Cloud 112 akiweka ua kwenye kaburi la Adam kuambiana
  
Wastara akiwa na team wastara kwenye kaburi la Adam Kuambiana wakiweka shada la maua.Photo: R.l.P Kanumba
Sharoasla Ally akiwa rafiki yake kwenye kaburi la steven kanumba , Akiwa anaogoza team wastara ambaye pia ni muandishi wa blog ya wastarasajuki.blogspot.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top