Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


WEMA SEPETU AIBUKA KINARA
SHINDANO LA IJUMAA SEXIEST
GIRL
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu
ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa
Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’,
Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate
Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live.
Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti
Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya
Global Publishers Ltd.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top