Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii
nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya
utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa
hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani
wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea
<<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>>> ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata..alisema uwoya
<<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>>>

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment