1.
ZAWADI ZINABORESHA MAPENZI: Umuhimu wakwanza wa Zawadi katika mapenzi
ni kuboresha mapenzi. Fahamu kuwa unapompa mpenzi wako zawadi utamfanya
ajihisi kama niwapekee kwako hivyo atajiona kama ni mmoja wapo kati ya
watu wenye thamani kwako na ataamini kama kweli upo karibu yake na
unamjali hivyo hatashindwa kulipa mazuri kwako kwa kukuonesha upendo wa
dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako kwani atakua anajua kuwa wewe
unamjali na unamuonesha upendo sasa kwanini nayeye asikujali?! Hivyo
zawadi yako itakuwa ni njia moja wapo ya kuboresha penzi lako kwa
umpendae.
2.
ZAWADI ZINAJENGA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI: Umuhimu wa pili wa zawadi
katika mapenzi ni kujenga taswira ya kumbukumbu kwa mpenzi wako, faham
kuwa unapompa mpenzi wako zawadi inakusaidia wewe kujijenga katika
mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako
atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na
atahisi kama kuachana nawewe kwake kunatofauti na atajihisi kupoteza
vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila
azionapo zawadi zako.
Mpenzi msomaji wa ukurasa huu napenda nikushauri juu ya zawadi unazotakiwa kumpa mpenzi wako jitahidi pindi unapohitaji kumnunulia mpenzi wako zawadi tafuta zawadi ambayo itadumu kwa mpenzi wako kama vile nguo, card, maua n.k. Isiwe zawadi ya muda mfupi isiyotunzika kwa mfano unaweza kumpa mpenzi wako hela ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi. KUMBUKA: simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela hapana ila inabidi ufaham kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.
<<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>>>>

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment