Ommy
Dimpoz a.k.a Poz kwa poz ameamua kuwaonjesha kionjo cha wimbo wake
mpya unaokuja ambao video yake imefanywa nchini Marekani Na producer
mkali nchini humo. Kupiti Account yake ya Instagram Ommy dimpoz aliweka
kionjo cha Video hii na kusema ndio cha wimbo huo unaosubiriwa na
Wapenzi wa Muziki wa Bongo fleva Kwa Hamu Kubwa.
Sikiliza Na kumtazama Hapa:
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment