Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

daaah

sasa kuna kipi ambacho hatujakiona
ktk mwili wa Riri labda
hii kaamua kabisa kutubon'golea 
I'm speechless 

The love of money is the root of all evil, mmmmmh hapa nimejifunga mdomo kuna watakaosema haaa huko majuu watu hawajali na wapo okay kwa lolote , nitakataa kumbukeni jinsi watu walivyokasirika kumuona Bey aki perform na kile kinguo na yaliyomkuta Kim K ktk vogue kwamba hastahili kuwa ktk cover kwasababu ya tabia zake

ukweli ni kwamba katika kila jamii ina yake wanaweza wakawa wana rights za kufanya watakalo but bado jamii ukifanya kituko  unaweza ukaonekana wa ajabu sana......

Je wale wataalam wetu wa Insta kutupiamo pics za kuiga Riri watathubutu hivi?? hakuna linaloshindikana chini ya jua arifeee lets wait n see 

i do the seeking n you do the judging....

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top