Mtoto wa
majabu azaliwa nchini cameroon, amezaliwa akiwa na jicho moja ndani ya
hilo jocho kuna macho mawili, pia amezaliwa akiwa hana pua wala mdomo na
amezaliwa na jinisia mbili.
Naalipo zaliwa tu haikuchukuwa muda mrefu akafariki dunia, sababu hakuwa na uwezo wa kupumua.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment