Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na
picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi
karibuni kuwa si zake.
Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni
mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha
uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu  mwingine
na kudai ni yeye.
“Mitandao ya kijamii inakera sana. Kila mtu
anaandika habari itakayowafanya watu wafungue
‘blogi’ yake, siwezi kupiga picha ya utupu,”
alisema Jokate.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top