Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

1Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Christopher Ole Sendeka akikanusha taarifa potofu iliyotolewa leo Bunge mjini Dodoma na mjumbe mwenzie wakati wa mjadala wa kurekebisha kanuni za Bunge hilo.
2Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma kabla ya Bunge hilo halihairishwa hadi Agosti mwaka huu.3aMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ezekeil Oluoch akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.4aMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Asha Bakari Makame akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.5aMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Andrew Chenge akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.6aMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuongoza mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma kabla ya Bunge hilo halihairishwa hadi Agosti mwaka huu.7aMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Suleman Jaffo akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.8aWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge la Katiba Mizengo Pinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge hilo Godfrey Zambi wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.9bMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Evod Mmanda akiwasilisha marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.10Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Seif Khatib(kulia) na Mohamed Aboud Mohamed (kushoto) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa mkutano hadi Agosti mwaka huu.
>>>>>>Picha na Bunge Maalum la Katiba

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top