Hitmaker wa Tupogo, Ommy Dimpoz ameendelea
kutoa dozi ya kupiga shoo kali nchi za watu na
safari hii ameshea baadhi ya picha na mashabiki
kwenye ukurasa wake wa Instagram za show
aliyoifanya Muscat, Oman akiwa na bendi yake
iliyohudhuriwa na nyomi ya watu. Thumbs up
Dimpoz.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment