Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Askari akijihami wakati wa vurugu kubwa
zilizozuka jana majira ya jioni Jiji la Mombasa
wakati Waumini wa dini ya Kiislamu wa Msikiti
'Masjid Mussa' ambapo waumini hao
wamedaiwa kuwa walikuwa wameandaa
mkutano wa hadhara waliouita Kongamano
ambalo Serikali ilikataa kuwepo kwa
muhadhara huo na wao kupinga maamuzi
hayo.

Imeelezwa kuwa Baada ya kukatazwa kufanya
muhadhara huo, waliamua kuweka Bendera ya
Kiislamu katika Msikiti huo huku wakitoa
'Fatwa' kuwa kuanzia leo hawaitambui Bendera
ya Kenya, jambo ambalo lilipelekea kutokea
kwa vurugu hizo baina ya Askari na waumini
hao. Aidha imeripotiwa kuwa watu kadhaa
wamefariki dunia katika vurugu hizo na
wengine kujeruhiwa.

Polisi wakiwadhibiti waumini wa dini ya
kiislamu jijini Mombasa, nchini Kenya

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top