Team ya Chelsea imejikuta ikipokea kichapo cha goli mbili bila kutoka kwa man city kwenye uwanja wa etihad jioni hii ilikuwa ni dakika ya kumi na saba man city walipojiandikia bao lao la kwanza lilofungwa na mshambuliaji wake jovetic
Samir nasri aliyeungia kipindi cha pili aliifungui city goli la pili nala ushindi
Kwa ushindi huo city imeingia round ya 5 ambapo ratiba itapagwa kesho saa kumi na mbili jioni
Huku mchezo mwingn wa round ya 4 kati ya arsenal vs Liverpool ukisubiliwa kwa hamu .arsenal wataikaribisha Liverpool wiki Mona tu baada ya Liverpool kuifunga arsenal magoli 5 kwa 1 je arsenal watafuta uteja.
Matokeo mengine haya hapa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment