H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki.
H.Baba akimlisha keki mama yake.
Mke wake H.Baba, Florah Mvungi akiwa ameshika keki ya bethidei.
H.Baba akiwa na mtoto wake.
Florah Mvungi akimlisha keki mtoto wake Tanzanite.
Jana msanii H.Baba kutoka Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake, mke wake na mtoto wao Tanzanite pamoja na mama mzazi wa HBaba na wadogo zake
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro















Post a Comment
Post a Comment