Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Jamaa anaanguka chini afikie wapi sasa, Maana tumezowea kuona mtu anaangu juu ya mti au nyumba na anaangukia chini hii sasa itaitwaje  papo kwa hapo au?. Siyo movie wala nini ni theleji hiyo imempiga mweleka mzungu wa watu na kaanguka kizungu hasa.
watu wanaanguka na bado wameshikilia vitu vyao mikono kunanini ndani. Kulia ni kuanguka kichina na kushoto ni kuanguka kizungu kazi hiyo.
Huyu ni messenger kala mweleka na baiskeli yake pwah...theleji mbaya sana.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top