Naibu
Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati
akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm
Mh:Malima
ambaye ni Naibu waziri wa Fedha akipokea Zawadi ya Ua wakati wa
alipofika Rasmi Ofisini hii leo kwaajili ya Kuanza Majukumu yake baada
ya Kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri wa Fedha.
Mapokezi Yanaendelea,Watumishi wa Wizara
ya Fedha walijitokeza Kwa wingi sana kuwapokea Manaibu Waziri wapya wa
Wizara hiyo.(Mh:Mwigulu Nchemba na Mh:Adam Malima) Pembeni(Kushoto) ni
Mkurugenzi wizarani hapo aliyeongoza mapokezi hayo
Naibu
Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akilakiwa na Maofisa wa Wizara ya
Fedha mapema hii leo Asubuhi wakati alipofika Ofisini hapo rasmi kuanza
kazi.
Naibu
Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Fedha wakati wa hafla ya Kuwapokea Mawaziri hao Wapya hii
leo zoezi lililofanyika Wizara ya Fedha na Kukamilika Jioni ya Leo.
Picha Zote na HABARI KWANZA BLOG
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro












Post a Comment
Post a Comment