Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza miito ya simu lakini kwa sasa wengi wanajaribu kufikiria upande mwingine wa kuweza kupata shilingi,Miongoni mwa hao ni Linex.
linenga 
Linex leo kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika ujumbe ambao unawahusu wachumba wanaotegemea kuoana ambapo yeye katangaza rasmi kujihusisha na utungaji wa nyimbo ambao utakuhusu wewe na mwenzi wako,Ujumbe wake kwenye Facebook ulisomeka hivi.
image.png 
Hii ni hatua nyingine ya wasanii wa Tanzania kutengeneza soko lingine la muziki kuna wale ambao huwa wanauza T-shirt zenye nembo ya nyimbo zao ambazo huwa mpya au za zamani.
Credit to Millardayo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top