Kim kardshian na Nicole walipokuwa na umri wa miaka 13.
Kama ulikuwa hufahamu ni kwamba, Baby mama wa Rapa Kanye West, Kimberly Kardashian aliwahi kuwa rafiki mkubwa na staa Nicole enzi za utoto wao kipindi walipokuwa na umri wa miaka 13.
Huku Rapa kutoka West Coast, Snoop Dog a.k.a Snoop Lion kuwahi kuwa rafiki wa karibu na actress Cameron Diaz wakati huo wanasoma High School na ndiye aliyekuwa mteja wake mkubwa wa bangi aliyokuwa anauza enzi hizo.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment