CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa kimesema
hakitaki kumuona Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kwa kuwa ni
msaliti.
Pia kimewatahadharisha viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa kwamba yeyote atakayeonekana kuwa karibu na Zitto katika shughuli za chama au kutoa siri, atashughulikia haraka na kuwekwa kwenye kundi la wasaliti.
BOFYA HAPA KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK KWA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU
Source: Rai
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment