Wananchi mwenye hasira kali wateketeza kwa moto basi la Mtei linalosafiri kati ya singida na Arusha baada ya kugonga pikipiki na kuua watoto watatu hivi punde.
![]() |
|
Muonekano basi
la Mtei linalosafiri kati ya Singida-Arusha likiwa limechomwa moto na Wananchi
wenye hasira baada ya kugonga pikipiki, na kusababisa kuua watoto 3 Asubuhi ya Leo Januari 09,2014.
|
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment