Watu wawili wamekufa kwenye ajali iliyotokea asubuhi ,8 taabani baada ya gari aina ya Noah kugongana na lori eneo la kwedikwazu leo saa 5. Polisi yasema ilikuwa ikitokea kabuku kwenda mkata
Habari zaidi zitakuijia.....
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment