Waziri Mkuu wa Zamani, Ariel Sharon Amefariki dunia hivi punde katika hospitali alikokuwa amelazwa kwa muda mrefu
kwa matibabu ya kiarusi.
Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85.
Alikuwa katika hali ya umahututi kwa miaka nane tangu mwaka 2006.
habari zaidi zitawajia hivi punde!!!
-bbc
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment