
Mara baada ya pambano la klabu bingwa ya dunia kati ya Atletico Mineiro ya Brazil na Raja Casablanca ya Morocco kumalizika jana...wachezaji wa Raja walimvamia staa wa Atletico, Ronaldinho na kumuomba viatu vyake huku wakimvua.. thanks for the memories Dinho....

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment