Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia suala hilo....
Naibu
Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January
Makamba” ametoa habari mpya na nzuri kuhusu kodi hii....
Kupita ukurasa wake wa facebook,Makamba ameposti huu ujumbe:
“Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax). Asante Mheshimiwa Rais.”

Post by January Makamba.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment