Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Waraka mwingine ulioandikwa katika lugha ya Kiswahili umechapishwa kwenye tovuti v2catholic.com... unataja majina ya Watanzania wawili kuwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya.

Picture

Waraka huo wenye ulio na saini ya aliyejiita 
 
 
 
 
 
Jumaa, akiwa jela Hon Kong, tarehe 12 Desemba 2013 ni wa kurasa mbili zilizojaa maneno ya kujuta kwa kufanya kazi hiyo haramu, unaeleza mbinu mpya inayotumiwa na wafanyabiashara hao haramu kwa kuwatoa kafara Watanzania wanaokubali kuwa punda wa kubeba dawa hizo.

Mwishowe unatoa onyo kwa kila Mtanzania anayejiingiza katika biashara hiyo na kutoa wito wa kusambaza taarifa hii ili kuwaonya watu wengine wasithubutu kujiingiza katika biashara hiyo haramu.

Unaweza kuofya linki iliyopachikwa hapo juu kufungua na kusoma waraka huo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top