Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Wiki kadhaa zilizopita msanii Linah alifunguka na kudai kuwa anatamani kuitwa mama kwani umri umeshaenda, matamanio hayo hayajampata Linah pekeyake kwani msanii wa pili kupokea mkwanja mwingi kwenye show Tz Ommy Dimpoz naye amefunguka kuwa anatamani sana kuitwa Baba hasa akipata mtoto wa kike..
Tazama alchoandika Ommy Dimpoz kupitia akaunt yake ya Instagram

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top