Story zilizopo ni juu ya msanii wa bongo Fleva Daimond anavyo
endelea kuwachanganya wasichana wa kibongo na hii ni mpya kabisa baada
ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye
mitandao ya kijamii, Kuwa Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine
tena apo ndipo ikampelekea Dvj Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa
Hospitali. ----- gongamx.com
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment