Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Muhudumu wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyoa maziwa hadharani mteja wake na kuacha kazi.

Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo ambapo awali dada huyo alionekana kukolea kilaji kupita kiasi na kukosa stamala na baadae kujikuta akifanya upuuzi huo.
Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya menejaa wake kufika na kushuhudia tukio hilo kisha kumuamuru kuvua jezi za ofisi kisha kuondoka bila kutoa maelezo. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top