MWIGIZAJI wa filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa wale
waliozusha kuwa amechumbiwa, watasubiri sana kwani suala la ndoa kwake
bado halipo leo wala kesho.
“Watasubiri sana hao waliozusha suala la mimi kuolewa, sijui hizo taarifa walizitoa wapi. Mimi muda ukifika tu nitawaambia maana wanaonekana wana hamu sana na ndoa yangu,” alisema Maya.
Mayasa Mrisho ‘Maya’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Maya alisema uvumi ulionenezwa miezi
kadhaa iliyopita kuwa amechumbiwa ulikuwa una lengo la kumchafua kwani
yeye siku yake ya kuolewa ikifika ataweka hadharani.“Watasubiri sana hao waliozusha suala la mimi kuolewa, sijui hizo taarifa walizitoa wapi. Mimi muda ukifika tu nitawaambia maana wanaonekana wana hamu sana na ndoa yangu,” alisema Maya.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment