Mwigizaji Zuhura Maftah Maarufu Kama Melissa Afariki Dunia jana
8/9/2013 .Kwa taarifa tulizozipata ni kwamba Zuhura aliumwa week chache
zilizopita. Ni mwigizaji aliyefanya kazi na bongo movie kwa ukaribu
kabla ya kutoka na kuanza kufanya kazi zake binafsi 

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment