Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mbunge wa Kigoma kaskazin Mh Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Club ya Simba Sports Club ni wapuuzi na kwa sasa
anampango wa kutaka kuhama timu hiyo kama shabiki na kuhamia Azam Fc.

Zitto ameyasema hayo kufuatia sakata la kuachwa kwa mchezaji wa Simba alieitumikia Club hiyo kwa miaka mingi kama gori kipa Namba moja ya Kikosi Hicho Juma Kaseja ambae ni mzawa wa Kigoma.
Sakata la kuachwa kwa mchezaji huyo Kaseja katika usajili mpya wa Simba umechukuliwa tofauti na mashabiki wengi na wanachama wa Simba Sports Club wakiamini kuwa Juma bado anastaili kusajiliwa na kuitumikia Cluib hiyo ya Msimbazi,huku wanachama wengine wakitoa lawama zao kwa uongozi wa Club hiyo kwa kitendo cha kumuacha mchezaji huyo ambae ni kipa na nahodha wa Taifa Stars.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top