Bw.Anord Nyabenda akionesha Ulimi wake namna ulivyokatwa kwa meno na
mkewe. Imeelezwa kuwa chanzo ni wivu wa kimapenzi kati yake na mkewe.
Hadi sasa mwanamke hajafika Hospitalini alikolazwa kwa matibabu ili
kujulia hali mwenzake. Chanzo:http://ngarakwetu.blogspot.com
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment