Mtu
mmoja aliyejulikana kwa jina la Shabani Mrutu kwa mujibu wa
vitambulisho vyake na mtumishi wa idara nyeti serikalini ameuwawa kwa
kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikika kuwa majambazi na
kufariki papo hapo katika eneo la Magereji Tegeta kibaoni jijini Dar es
Salasam.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment