Mtoto wa umri wa siku moja ameokolewa kutoka jaa la takataka la bakarani
huko Mombasa . Kulingana na mama anayedai alimwokota, mtoto huyo
alikuwa amefunikwa kwakaratasi ya nailoni na kuingizwa ndani ya sanduku
kabla ya kuachwa kwenye eneo la kutupa taka la bakarani. Lakini
anavyoripoti ferdinand omondi, huenda mtoto huyo hakuwa ametupwa kamwe.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment