Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Baadhi ya waombolezaji waliofika msibani nyumbani kwa Profesa Jay, Mbezi Mwisho jijini Dar leo.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kushoto) akiwa na Mhariri Msaidizi wa Magazeti ya Risasi na Amani, Erick Evarist msibani hapo.
Baba Mzazi wa Prof Jay, Mzee Haule (kushoto) akibadilishana mawazo na mzee mwenzake msibani hapo.
Nature (kushoto) na Dolo wakiwa msibani.
Prof Jay akihojiwa na Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima. Katikati ni Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Luquman Maloto.
Waombolezaji wakipata menyu.
Watu mbalimbali wamezidi kumiminika nyumbani kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Joseph Haule ‘Prof. Jay’ eneo la Mbezi Mwisho jijini Dar kutoa pole kufuatia kifo cha mama yake mzazi Rosemary Majanjala. Marehemu Rosemary aligongwa na gari aina ya Stallet juzi saa mbili usiku ambapo alifariki baada ya kufikishwa katika hospitali ya Tumbi iliyopo Kibaha, mkoani Pwani.
                                       PICHA GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top