Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Wafanyakazi wa TANRODS kIGOMA wakiwa kwenye semini ya mafunzo jinsi ya kutumia vifaa vya Zima moto pindi moto unapokuwa umetokea
 Kamanda wa zimamoto mkoa wa kigoma INSP IDD N. TELEMKENI  akitoa maelekezo jinsi ya kutumia vifaa hivi vya zimamoto kwa vitendo



            Hii ni fire blanket kifaa kinachotumika kuzimia moto

        Hapa wanazima moto kwa kutumia fire blanket kwa vitendo

                         KAMANDA AKITOA MAELEKEZO JINSI YA KUTUMIA POWDER
                                        HII NDIO POWDER FIRE EXTINGUISHER


  KAIMU MENEJA WA TANROADS MKOA WA KIGOMA ENG.MIRUMBE







                           IT-MURSAL NAE AKIFANYA KITENDO CHA KUZIMA MOTO
WAJUMBE WAKISIKILIZA MAELEKEZO KUTOKA KWA KAMANDA MKUU


MUANGALIZI WA OFISI MAMA MTAWILLA AKITOA SHUKRANI BAADA YA KUPATA MAFUNZO YA ZIMAMOTO

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top