Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ligi kuu ya Uingereza imethibitisha kwamba siku ya kufunga dirisha la usajili la kiangazi imesongezwa mbele kutoka August 31 mpaka September 2.
Sababu ya kusogezwa mbele kwa siku ya kufunga dirisha hilo la usajili nj kutokana na tarehe 31 ya mwezi August kuangukia siku ya Jumamosi ambapo sio siku ya kazi na pia ni siku ya michezo ya
Mpaka sasa haijawekwa wazi ni muda gani hasa dirisha litafungwa nchini England, muda wa zamani ulikuwa ni saa saa sita za usiku.
Mapema mwezi uliopita, mamlaka za soka nchini Italia pia walithibitisha kuongezwa kwa muda wa kufungwa kwa dirisha la usajili mpaka tarehe 2 September siku ya Jumatatu saa tano asubuhi kwa saa za kwao.
Ligue 1 ya Ufaransa na Spanish La Liga pia zinategemewa kuongeza muda kama ligi .

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top