Mwezi wa Ramadhan waumini
wengi wa dini ya kiislaamu wanashauriwa
kubadilisha mwenedo wa maisha yao na angalau kuutumia mwezi huu kutenda
mambo mema. Sasa nakupa list na picha za watu maarufu ambao wamebadilika
kabisa hasa kwenye upande wa mavazi. Angalia muonekano wa watu hawa
zamani na sasa mwezi wa Ramdhan. ni kitu kizuri kuheshimu mambo ya dini
kama hawa walivyofany. Lakini haya mabadiliko ni makubwa sana. Picha
moja inamuonyesha star huyu akiwa na muonekano wake wa siku zote na
nyingine jinsi alivyo hivi sasa mwezi wa Ramadhan
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro


















Post a Comment
Post a Comment