Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwigizaji maarufu wa bongo movies, Kulwa kikumba, maarufu kama dude amepewa nafasi ya kuwa "video boy" ama muhusika mkuu katika video mpya ya mwanadada lady jay dee YAHAYA inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.DUDE wa bongo movies apewa
Katika picha mbalimbali zilizotolewa na Jay dee kupitia mtandao wa twitter na facebook zimemuonesha DUDE katika matukio mbalimbali ya ndani ya video hiyo iliyoanza kutengenezwa leo na inayotarajiwa kuachiwa ndani ya mwezi huu.
Vipi kama dude aliyejichukulia umaarufu kwenye mchozo wa bongo dar es salaam kwa tabia yake ya utapeli akiingiza kama yahaya kwenye wimbo wa lady jaydee wenye jina hilo
                                            Yahaya akifanya utapeli hapo
Dude ameiambia BONGO5 leo kuwa wameanza kushoot video ya lady jaydee yahaya tangu jana na pia bado wanaendelea kushoot kwa location tofauti tofauti pamoja na nyumbani lounge
                                    Picha kwa hisani ya bongomovies.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top