Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Habari za uhakika ni kuwa muigizaji maarufu Swahiliwood Salma Jabu( Nisha) atafutarisha mashabiki wake wakubwa wa kazi zake za filamu kesho jumapili. 
 Chanzo cha kuaminika kilicho karibu na actress huyo kimesema kuwa mashabiki hao watakaofutarishwa na Nisha nyumbani kwake kijitonyama Dar es salaam watatoka katika group yake ya mtandao wa WhatsApp na tayari kila kitu kipo tayari kwa ajili ya tukio hilo muhimu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Licha ya kuwa actress maarufu Nisha pia ni producer wa filamu kupitia kampuni yake ya Nisha's Film Productions na wiki iliyopita filamu yake mpya ya Tikisa iliingia sokoni.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top