Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wakati tukiwa katika karne ya 21 huku tukiwa tunashuhudia teknolijia mbalimbali duniani ambazo simekufanya kushangaa na kuona kama ni kiini macho huamini amini hivi katika kuendeleza teknolojia iko Mercedes Benz ya 2014 S550 ambayo ukishaiwasha
unaweka setting inajiendesha yenyewe wewe ukiwa umekaa na kuenjoy the drive ya 2014 Mercedes benz S550 , bei yake bado haijajulikana itauzwa kiasi gani. Hapa ndipo utakapojua Wabongo wabishi mzigo ukiingia tu sokoni mwakani siku chache baadae mchuma utaonekana ukicruise katika barabara za Bongo..Big up yourself kwa kampuni ya Benz.
                               CLOUDSFM.COM

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top