Muda mfupi uliopita mtangazaji wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM Diva
Loveness Love ambaye sasa anatumia “divathebawse” katika akaunti yake ya
Instagram, ameweka picha mpya akiwa na Rapcellency Jackson makini aka
Prezzo kutoka Kenya waliyopiga jana (July 7).
Picha hiyo ambayo inawaonesha wawili hao wakiwa “0 distance” ilikuwa na caption inayosomeka hivi,
“Nothing Than Happiness… Prez is such a Nice guy. Hata Akiniudhi
Sihesabu makosa yake. May you Live Long Pleaseeee……… Good hearted, My
hero, My Mentor… A Person I can count to when I need to be happy… No one
is Perfect yes but I love his flaws and All…. Bless you always’ . I
Pray you live Long… I Pray for you Always”
Picha nyingine iliwaonesha Prezzo na Diva wakikumbatiana na kusindikizwa
na caption “Last Night at escape1… I was nothing than happy. With
Prezzo”.
Prezzo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza jana (July 7) katika
show ya Matumaini iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment