Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kwa hali isiyo ya kawaida 
changudoa mmoja huko Naivasha Nairobi Alipewe kichapo cha mbwa mwizi Baada ya kugundulika na wenzake kuwa huwa anauza kwa bei ndogo na
saa zingine huwa anatoa kwa mkopo..kitendo hicho kimelaaniwa na wenzake kwa vile kinapunguza bei yao na kuonekana kuwa si  wa gharama...inafikia kipindi watu wanaokuja wanamtafuta yeye tu kwa vile ni wa bei ya chini ..... “Kwani unafikiria sisi tutakula wapi kama utaendelea kujiuza hii bei hasara" Alisikia Changudoa mmoja akisema huku akishusha kichapo...
Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza kumuokoa katika kichapo hicho... Mteja mmoja alisikika akisema: “Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa wenzake (she offers me services on credit when I’m broke so I can’t let them kill her),

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top