
Mtu mzima Dj Khaled
ameshindwa kukaa na la moyoni kwa muda mrefu sasa ameamua aweke wazi
kuwa anataka kumchukua jumla jumla (kumuoa) Nicki Minaj na yupo tayari
kwani anujua yeye ndiye mwanaume anaefaa kuwa na Nicki, Katika maneno
yake Dj Khaled alisema alitamani kumwambia ukweli Nicki Minaja tangu
mwaka jana ila alishindwa lakini leo ndo kaamua kusema ukweli..
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment