![]() |
Ni muonekano wa basi la Kangibomba (Namba za usajili hazikujulikana haraka) mali ya mbunge wa jimbo la
mwibara Kangi Lugora jinsi lilivyoteketea kwa moto mjini Bunda Mkoani Mara.
Basi hilo limeungua
wakati mafundi wakichomelea baadhi ya vitu….Picha Na kwa Hisani ya Mdau :
Johnson Matinde Valeron.
|
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








source :http://mwanawamakonda.blogspot.com
Post a Comment
Post a Comment