Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi mkali sana wa Polisi.

Tutaendelea kuwafahamisha wananchi kila kitakochoendelea na tunaomba watanzania wawe watulivu.

Mungu akiwa upande wetu hakuna wa kutushinda..

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top