Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa huko Nachingwea Lindi.
Marehemu akitoka Nachingwea Resort katika muziki siku ya ijumaa.Inasadikika kuwa marehemu alikuwa amelewa na watu walio mbaka alitoka nao kwenye muziki.
                                  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top