Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

IMG_1435
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMG_1437

IMG_1416
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum Namelok Sokoinine aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mgoo akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  Habari via MOBLOG 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top