Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
darfur
Watu zaidi ya 50 wamekufa nchini Sudan katika mapigano baina ya makabila mawili ya kiarabu yanayogombea udhibiti wa eneo lenye mgodi ya dhahabu katika jimbo lenye migogoro la Darfur.
Mapigano hayo yamezuka yakihusisha makabila ya Bani Hussein na Rizeigat wakigombea mgodi huo wa dhahabu karibu El Sireaf kaskazini mwa Darfur.
Kiongozi wa kabila la Bani Hussein Masar al-Duma Atim amekaririwa akisema watu kati ya 40 na 50 wameuawa huko El Sireaf.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top